Zifahamu njia 5 kali za kupata hela ndani ya masaa machache na utakuwa mmoja wa mashihidi walioleta ushuhuda kwangu. Njia hizi ni njia ambazo kabla ya kuzileta kwenu zimethibitishwa na kuhakikishwa na watu wengi kuwa ni za kweli na zinaweza kukufanya usisahau shida nyingi za kimaisha. Usininukuu vibaya ila unawez ukawa BILIONEA. Furahia maisha
Kwa kusema hivyo najua wengi wameshaanza kuwaza ujasiriamali au ufanya biashara vichwani mwao lah, Kwani tajiri namba moja duniani,BILL GATES ni mjasiriamali au mfanya biashara? kunatofauti kubwa kati ya vitu hivyo viwili...angalia chini
"A businessman walks on the defined path, but an entrepreneur believes in making his own path, which becomes a guideline for other businessmen. Most of the people have a misconception that the terms businessman and entrepreneur, carry the same meaning, due to which they use them interchangeably." Soma zaidi: UJASIRIAMALI NA BIASHARA
HIZI NDIZO NJIA 5 ZA KUPIGA HELA MTANDAONI
Read More

1.FUNGUA YOUTUBE CHANNEL UONE MAAJABU
Youtube ni mtandao unaohusiana na videos kwa kutuma au kuangali. Mwaka ulioisha Felix kjellberg CHEKI alipata takribani dollar milioni 15.5 kwa ajir ya youtube tu.Ili uvune pesa nyingi juu ya mtandao huu unatakiwa kufungua channel ambayo hiyo utatumia kama sehemu yako ya kutuma au ku-upload videos. Ili kutengeneza pesa kwa Youtube, kikubwa unatakiwa kuwa na email address ambayo utatumia hiyo kufungulia channel yako ya Youtube ambayo mtandao huu upo chini ya kampuni ya Google kwa maana hiyo kufungua kwako channel ya Youtube kutakufanya uwe kama umeajiriwa na Google. Jaribu leo uone mafanikio ya youtube.
2.TUMIA WEBSITES ZINAZOLIPA DOLA
Takwimu zinaonyesha asilimia 11 ya watanzania mwaka 2015 walikuwa wanatumia smartphones.waaoh,nidhahiri kabisa mwaka huu 2017 asilimia hiyo itakuwa imeongezeka.Sasa kwann usitumia simu yako iyo kupata kipato.Tembelea web zifuatazo kupata mpunga kiulaiiiniiii.
a) SwagBucks
swagbucks ni mtandao maarufu sana duniani ambao ukiutembelea na kujiunga tu,unapata dollar 5.Mbali na hapo,ukifanya shughuli nyingine kama searching,surveying...wazungu wanasema unapata extra cash..jaribu uone
b)websites nyingine ni kama
-InboxDollars.com
-Globaltestmarket Ingia hapa
3. NJIA NYINGINE MAARUFU NI KUTUMIA AMAZON AFFILIATES
Amazon ni mtandao maarufu sana unaomilikiwa na tajiri aliyeshika namba moja mwaka huu JEFF BEZOS.Kazi kubwa ya AMAZONI ni kuuza bidhaa mbali mbali ulimwenguni kote.
Sasa wewe kama amazon affiliates unachotakiwa kufanya baada ya kujiunga ni kuomba waweke matangazo yao kwenye website au blog yako.Sasa mtu yeyote akinunua bidhaa kupitia mtandao wako basi unapata faida kubwa na malipo yao sio mabaya.
4.TENGENEZA BLOG UONE MAFANIKIO
Watu wengi wamekuwa wakichukulia poa swala la kuwa na blog.Kweli ni changamoto kwa sababu inahitaji muda na kujitoa pia inahitaji iwe ni kazi unayoipenda. Mwaka jana Huffington aliweza kupata kiasi cha dolla milioni 14 ambayo ni sawa na Tsh 3220000000000.
Anzisha blog yako kwa kutumia BLOGGER au WORDPRESS halafu itengeneze vizuri kwa msaada wa matengenezo TUWASILIANE.
Kuhusu blog Tembelea MITAANI FORUM
5.UZA BIDHAA ZAKO ONLINE
Kama hujawahi jaribu basi hii ni dili bomba.Kama una bidhaa zako tembelea website MITAANI FORUM