Jua ni moja ya nyota kubwa kabisa ambayo inakadiriwa kuwako kwa zaidi ya miaka bilion 4.5. Pia jua ni kitovu na sehemu ya katikati katika mfumo mzima wa sayari.
Jua hili pia ni chanzo cha nishati yote ambayo unaiona duniani.Hii ikiwemo ile ya umeme na hata nishati itokanayo na mimea. ambacho kinatusaidia sisi pamoja na wanyama wengine kwa maisha ya kila siku.
1.Jua kwa kiingereza "sun" ni jina lenye asili ya neno la kiingereza "sunne" kutoka katika kiingereza cha zamani sana.
2. Jua lina usumaku "magnetic field" kama sumaku ambapo pande zake mbili (North and south) hupinduka kila baada ya miaka 11.
3. Photosphere ambayo sehemu ya katikati ya jua,ndiyo sehemu ambayo inatoa joto ambalo ndilo huwa mwanga "light" ambao unatufikia Duniani.kutokana na umbali kutoka kwenye photosphere ambao ni mile 300 ,mwanga wa jua hutumi
a zaidi ya dakika 8 kufika duniani.4. Sehemu ya nje ya jua " corona" ndiyo yenye joto zaidi kulinganisha na sehemu ya ndani ya jua photosphere inayotoa 5500 centigredi kulinganisha na corona yenye jotk zaidi ya degree milioni 3 kulinganisha na corona.
5.Kipenyo cha jua ni kutoka katikati mpaka kwenye ukingo nj 864,575.9 miles na kipenyo cha jua mpaka kwenye dunia ni miles 92.96.Uzito wa jua ni zaidi ya mara 330,000 ya ule wa dunia.
6.Viumbe vyote duniani vinahitaji jua ili viendelee na maisha.Mimea ya kijana na isiyo ya kijani inahitaji jua ilikuweza kujitengenezea chakula chake yenyewe (photosynthesis),ambapo mimea hii sisi huitumia kwa chakula

0 comments:
Post a Comment